Search

6021 results for Mwandishi Wetu :

  1. PRIME Sababu kimbunga Hidaya kukosa nguvu ghafla

    Miongoni mwa sababu za kimbunga kupoteza nguvu ni kuwapo kwa sababu nyingine ni kuwapo upepo kinzani, hivyo kinapokuwa kinaelekea sehemu fulani, lakini pakawepo na upepo kinzani kinapungua nguvu.

  2. PRIME Utata askari Polisi akidaiwa kumjeruhi mtuhumiwa kwa risasi

    Taarifa ambazo Mwananchi linazo ni kuwa tayari suala hilo limeshaanza kuchunguzwa na maofisa wa Polisi makao makuu, waliofika Mirerani wakiwa na maofisa wa Mkoa wa Manyara.

  3. Foden azoa tuzo akimpiku Rice wa Arsenal

    Phil Foden amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mwaka wa England kwenye tuzo zinazotolewa na Chama cha Waandishi wa Habari za Soka nchini England.

  4. Hidaya chapoteza nguvu baada ya kuingia Mafia

    "Taarifa hii inahitimisha mfululizo wa taarifa wa kilichokuwa kimbunga Hidaya zilizokuwa zikitolewa na TMA tangu Mei 1, 2024, mwenendo wa mifumo ya hali ya hewa inaonyesha kuwa katika kipindi cha...

  5. Kuelekea siku ya wakunga duniani: Serikali yazindua mradi wa thamini uzazi salama

    Imeelezwa kuwa dunia na Tanzania hivi sasa zinahitaji wakunga wa kitaalamu kuliko wakati mwingine wowote, lakini bado kuna msaada mdogo kwa kada hiyo.

  6. PRIME Kauli ya Lissu yazidisha fukuto Chadema

    Tangu uchaguzi wa ndani wa Chadema ulipoanza, Kanda ya Nyasa imeonekana kuwa na ushindani mkali kati ya mbunge wa zamani wa Iringa Mjini, Peter Msigwa na Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, Joseph...

  7. Tanzania yapaa viwango uhuru wa habari, sera umiliki kutazamwa

    Amesema kwa sasa Serikali ipo kwenye mchakato wa kupitia sera kwa kushirikiana na wadau ili waweze kuzibadilisha na ikibidi kubadilisha kifungu hicho cha sheria.

  8. LIVE: Tazama kimbunga Hidaya kinavyoikaribia Tanzania

    Kupitia tovuti ya Zoom Earth, Mwananchi Digital imewekea ‘link’ ya kutazama mubashara kimbunga hicho.

  9. Gamondi hajapoa, amuulizia Fabrice Ngoma

    Simba msimu huu imekuwa na kiwango ambacho hakiwafurahishi mashabiki wake lakini kuna wachezaji ambao wamekuwa vipenzi vya mashabiki na wanaamini kama wataendelea kuwepo, miamba hiyo ya Ligi Kuu...

  10. Uhuru wa habari ni wajibu wa kila mdau

    Leo ni Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, ambayo huadhimishwa Mei 3, kila mwaka. Katika siku hii, wadau wanapata nafasi ya kutafakari umuhimu wa tasnia ya habari katika kuchochea uhuru...

Page 1 of 603

Next